IVECO TRAKKER AD380T38

Fomu Ya Uchunguzi

Mkusanyiko wa Eurocargo ndio mpana zaidi kwenye kikundi chake. Inapatikana kwa zaidi ya aina 11,000, kukidhi kila haja yako, hata kama haja yako ni ya kimaalum.

Iveco, chapa ya ulimwengu ya kikweli yenye mkusanyiko wa malori na mtandao unaokua ambao uko tayari kukusaidia kuhimili soko la kienyeji.

Iveco ina nafasi murwa ya kukua kwenye soko za Mashariki Kati na Afrika kwa usawazishaji wake baina ya malori, mabasi na magari yao yenye uzito mdogo, wa wastani na mkubwa . Pia inawekeza sana kwenye uwezo wake wa mtandao na usaidizi kuhudumia vizuri zaidi wateja wake. Ukubwa mzima wa eneo hili ulikisiwa kuwa bidhaa 230,000 mwaka wa 2013, ukiwakilisha soko kubwa kuliko Amerika Kusini na thuluthi ya Ulaya. Iveco ni mojawapo ya chapa zinazokua kwa haraka zaidi kwenye eneo hili, mauzo yakiongezeka 33% tangu 2010, na kufika bidhaa 12,000 mwaka uliopita. Ukuaji wa kuridhisha wa Iveco unaonekana kuendelea na inapanga kuongeza mara mbili mauzo yake kwenye eneo hili kabla ya 2018 yako njiani kwa mfululizo wa mipango ambayo yataboresha kuonekana kwake na kuongeza kiwango inapohusisha matarajio ya watendaji kazi wa kibiashara kwenye eneo hili. Maendeleo haya yatatokea kupitia seti ya vihimizo muhimu: mkusanyiko wa bidhaa tofauti zilizochanganywa na suluhisho za kifedha za kuvutia; kuzifanya ziwe za kienyeji kukidhi mahitajj ya mteja; mtandao na wajengaji mwili. Timu ya AME (Afrika na Mashariki Kati) ya Iveco, zikiwemo mauzo, kuendeleza mtandao na kutafuta soko, imejitolea kukuza washiriki wao kwenye eneo hili. Makao makuu ya Iveco yaliyoko Turin yanatoa utafutaji soko wa bidhaa, vifaa na huduma, huduma ya bidhaa, ubora na huduma za kifedha kupitia timu iliyojitolea kumakinika kikamili kuelewa mahitaji ya eneo hili. 

Specifications :

  • NAFASI : 12.88 litres
  • INJINI : Turbocharger Waste-Gate valve
  • GIA BOKSI :
  • SASPENSHENI : Front Parabolic leaf, Rear Semielliptic leaf
  • AINA : Ladder construction. Pressed steel side members and riveted and bolted cross members.