IVECO TRAKKER AD260T38H
TRAKKER MPYA inakuja na uhakikisho wa injini za Cursor, kwa nguvu za kiwango cha juu zaidi na kudumu. Inatoa ubora wa juuzaidi wa maisha kwenye chombo pia, ikiwa na toleo kabu tatu. Na inaongeza uzalishaji wako kupita mipaka yote, huku ikiendelea kupunguza Gharama Jumla ya Umiliki (TCO), na kushukisha kabisa gharama za kuendesha.