IVECO TRAKKER AD380T38WH

Fomu Ya Uchunguzi

Umadhubuti ni mojawapo ya sifa zinazosaidia TRAKKER MPYA kubadilisha yasiyowezekana kuwa yawezekana. Kila kijenzi kimoja kutoka fremu ya chuma yenye nguvu-mavuno za kiwango cha juu, kinahakikisha kudumu: TRAKKER MPYA kikweli ni uwekezaji wa muda-mrefu.

Specifications :

  • NAFASI : 12.88 litres
  • INJINI : Iveco Cursor 13 Turbocharger + Waste-Gate valve
  • GIA BOKSI : EUROTRONIC/ MECHANICAL
  • SASPENSHENI : Front - Parabolic leaf; Rear - Semielliptic leaf; Anti roll bar - Front; Shock absorbers - 2 on front
  • AINA : Rigid 6x6 chassis cab