SMAG (IVECO) INASAIDIA IDARA YA SHUGHULI NA HUDUMA ZA UMMA YA RAK (PWSD)

MAHOJIANO MAKUBWA

KIWANDA / MASHINI / MAGARI DISEMBA 2016 www.constructionweekonline.com

Maneno: John Bambridge

 

Pamoja na kurudi na kutiririka kwa kawaida kwa miradi ya ujenzi kwenye eneo hili, inaweza kuwa rahisi kusahau mkusanyiko ulio muhimu pia wa magari na fliti unaosaidia kazi hii moja kwa moja na kivingine — hii inajumuisha sekta za usafiri na mchanganyo, lakini muhimu pia fliti za manispaa zinazochukua mamlaka pale wakandarasi wanapomaliza, kupeleka miundombinu inayounganisha jamii na miradi ya kibiashara kwa barabara za kifederali, ikisafisha nafasi ya kati na kutupa taka.Hapo Ras Al Khaimah, mtu anayeshughulikia majukumu haya hivi sasa ni Mhandisi Ahmed Mohammed Ahmed Al Hammadi, mwanachama wa baraza la utendaji na mkurugenzi jumla wa Idara ya Shughuli na Huduma za Umma ya RAK (PWSD), na mwishowe ulikuwa uamuzi wake ambao ulisababisha ununuzi wa hivi karibuni wa agizo kubwa malori mazito ya Iveco Trakker yaliyohamiwa na miili ya tipa ya Atlas kwa fliti za manispaa. Wakati wa kukalia ulikuja miezi sita iliyopita, pale RAK PSWD ilipokuwa inatathmini zabuni za agizo kubwa la fliti.  Al Hammadi anaeleza: “Miaka miwili iliyopita tulienda na Mercedes na Mammoet, lakini kwenye zabuni miezi sita iliyopita, tulifanya utafiti na kuchagua Iveco, kwa ajili waliweza kufikisha mahitaji maalum ya mletaji wetu mkuu, Mammoet, na tuna matumaini kuwa itakuwa bora kuliko fliti yetu ya zamani. Tukienda mbele, malori yakifaulu, tutaendelea nayo — hii inaweza kusababisha fliti kubadilika. “Tunaamini kuwa malori ya Iveco yatakuwa bora kwenye masuala ya kubadilisha mwelekeo, na kitaalamu kwenye shughuli. Hata hivyo, tuna hamu ya kimsingi ya vitu viwili, vyote ambavyo tutakuja kujua na wakati: jinsi madereva wetu watashughulikia mchanganyiko huu mpya barabarani, na kwa upande mwingine, jinsi wafanyakazi wetu watashughulikia magari hayo kwenye marekebisho — kwa ajili ya zamani yalikuwa yanakuja na mwili wa Marekani, na tumekuwa na shida mno kuyarekebisha.”Huku RAK PWSD inafanya mkusanyiko mpana wa shughuli za kila aina hapo Ras Al Khaimah — kikweli, ni mojawapo ya idara kubwa zaidi kwenye serikali ya kienyeji — Kwa wingi, malori yenye mwili wa tipa yaliyoletwa na Iveco yamewekwa kazini kwa lengo maalum sana ambalo linafanywa kwa uzito wa sehemu kubwa yoyote ya miundombinu ya kitaifa.

Kazi inayozungumziwa ni kusawazishwa ardhi kutoa ploti za ardhi kama sehemu ya Mradi wa Nyumba wa Zayed — wazo la kiraisi la kuhakikisha kuwa kila raia wa Emirati anaweza kujenga nyumba, na kufikia hili anaweza kununua ploti ya ardhi kutoka kwa serikali. Vile idadi ya watu Emirati inaendelea kuongezeka, ndipo pia mahitaji ya ploti hizi yanakua. Al Hammadi anasema: “Hapa UAE, kila raia wa kienyeji ana haki ya kupata kipande cha ardhi bure.

Ni mojawapo ya haki zake: huduma bure ya afya, elimu ya bure, ploti bure — kwa hivyo kile wanachohitaji kwetu ni kusawazisha ploti hizi.”Hii inaweza kuonekana rahisi, upana wa shughuli hii ni mkubwa. Ras Al Khaimah haiko sawasawa kabisa kama emirati wenzake na ardhi yake inapanda juu haraka kutoka Bahari ya Galfu kupitia matuta yanayojivurunga kwenye wayo wa vilima na kisha kwenye majabali, yakiwemo Jabel Jeis, jabali refu zaidi kwenye michana Shifti. Mhandisi Ahmed Al Hammadi, mkurugenzi-jumla wa idara ya shughuli za umma ya Ras Al Khaimah, anazungumzia kuhusu ununuzi wa mamlaka wa Iveco Trakkers kwenye mazingira ya miradi ya umma ya Emirati MHANDISI WA FLITI YA MALORI NA MANISPAA AL HAMMADI ni mkurugenzi-jumla wa Idara ya Shughuli na Huduma za Umma ya RAK (PWSD) mwanachama wa baraza la utendaji.Tuna hamu kimsingi na vitu viwili: jinsi madereva wetu wanvyohimili mchanganyo huu mpya barabarani, na, kwa upande mwingine, jinsi wafanyakazi wetu wanazihimili kwenye kurekebisha.”

Mnamo, RAK PWSD imewekewa lengo la kusawazisha viwanja 10,000, lakini Al Hammadi anadokeza: “Tulipoanza miaka minne iliyopita, tulianza kwa 5,000 pekee — baada ya miaka miwili tumeongeza idadi ya fliti mara mbili.” Ni kazi ya Al Hammadi kuhakikisha kuwa mambo yanatii ratiba, na hadi sasa, yanatii. Mwaka huu, idadi kamili ya viwanja vilivyosawazishwa ilipita 9,000 Oktoba mwanzo, lakini juhudi hii inahitaji ratiba isiyosimama. Licha ya ukweli kuwa mengi ya maeneo ya viwanja hai viko karibu na maeneo ya makazi yaliyopo, malori bado yanafanya kazi hadi 11pm, na yanaanza kazi tena mapema siku ya pili asubuhi. Shughuli hii inafanywa kwa umakini kupunguza iwezekenavyo urefu wa kusitishwa. Viwanja vinavyosawazishwa, kufuata amri ya kifalme, vinahitaji RAK PPWSD kupita vizuizi vyovote ambavyo viko kwenye njia zao. Kwa wakati huu, kizuizi hicho ni matuta, ambayo inamaanisha michanga, yaani michanga mingi — na hapa tunarudi pale tulipoanza pa uhitaji wa fliti inayofaa ya malori ya mwili wa tipa. Huku RAK PSWD ikiwa na mkusanyiko mpana wa shughuli za kawaida, kutoka ukasanyaji taka hadi usimamizi wa barabara, ni mradi wa kusawazisha ambayo ni kazi kuu kulingana na sehemu yake ya rasilimali za fliti za idara — ikishika kama 50% ya magari na vifaa vinavyopatikana, kulingana na Al Hammadi. Kwa upande mwingine, operesheni ya usimamizi wa taka mzima wa RAK, unahusisha 10% tu ya fliti ya idara.Mchakato mzima wa kusawazisha ploti kwa kiasi cha juu ulianza miaka minne iliyopita, ilipotambulika kuwa utoaji ploti wa RAK ulikuwa umeshindwa upesi na mahitaji ya ploti kutoka kwa watu wa Emirati. Mtukufu Sheikh Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Kiongozi wa Ras Al Khaimah, baada ya hapo akaanzisha hamasisho la kutoa idadi isiyobadilika ya ploti kila mwaka, na anampigia simu Al Hammadi kila siku kwa maelezo mapya ya mwenendo wa kazi  — mara nyingi akizuru maeneo yeye mwenyewe na kutoa amri za moja kwa moja. Idadi kubwa ya vichimbaji vya Komatsu na vibebaji wazi vinafanya kazi kwenye mojawapo ya maeneo ya usawazishaji. Hata hivyo, kwenye flati, lori lenye mwili-tipa mara nyingi hushinda kibebaji upande wa ufanisi wa fueli. Lakini,  “Tumekuwa tukiendelea kusawazisha,” Al Hammadi  anaendelea. “ Ilianza miaka minne iliyopita, na kwanzia wakati huo tumekuwa tukisawazisha mchana na usiku, na tutakuwa tukiendelea kwa miaka miwili au mitatu inayokuja.” Upesi wa kuchimba, kubeba na kubwaga kunakohitajika kusawazisha matuta na kujaza vishimo vya karibu ndio sababu kuwa kuchagua malori ya tipa ni muhimu sana. Upotezaji muda sio chaguo.  Kwa wakati huohuo, kwenye hali ya uchumi ya upungufu-pesa, RAK PWSD inaendelea kutafuta njia za kupunguza gharama zake bila kutafuta njia fupi. Al Hammadi anahamasisha mabadiliko kwenye mwelekeo wa uzalishaji na utendaji kazi wa kiwango cha juu zaidi na kupunguza gharama jumla ya operesheni. Akilekeza kwa baadhi ya ukosefu wa ufanisi uliopo, alibainisha: “Magari ya zamani, malori ya zamani — baadhi yao kwa ukweli, huwezi kupata sehemu badili — hiyo ndio sababu sasa tunachagua sana.

Tunajaribu kuunganisha fliti yetu na kudhibiti uchaguo wetu kwa chapa kama Iveco. Kabla, ilikuwa tukinunua bidhaa 10 kwa wakati mmoja: Iveco, MAN, Scania, Daimler; sasa tunafikiria kivingine.  Akisisitiza uzito wa uletaji sehemu, anaongeza: “Inakuwa imetuzidi. Ni bora kubaki na mbili; wala sio kuwa na ukiritimba mmoja, Tunajaribu kuunganisha fliti yetu na kudhibiti uchaguo wetu kwa chapa kama Iveco. Kabla, tulikuwa tukinunua bidhaa kumi kwa mara moja; sasa tunafikiria kivingine.” Sehemu 50% ya fliti ya manispaa imejitolea kwa kusawazisha ploti.

Iveco Trakkers inarudi na mzigo kutoka eneo la kazi ambapo njia inakatwa kupitia matuta kufanya nafasi kwa barabara lakini mbili. Ikiwa una kiwango cha juu zaidi cha tatu, ni sawa, lakini kufanya moja ndio mwenendo uliopo.”Agizo la karibu la Iveco pia linaonyesha jambo la hivi karibuni la uhusiano wa kikaribu baina RAK PSWD na chapa ya lori la Kiitalia na msambazaji wake hapa UAE Saeed Mohammed Al Ghandi &            Wana (SMAG), wa Kikundi Gari cha Al Ghandi, ambao ilianza kuuza agizo la magari ya Iveco kwa mamlaka zaidi ya miaka 20 iliyopita. Graham Turner, Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kundi Gari la Al Ghandi, alikuwa kwenye eneo hapo RAK, anasema kuhusu uhusiano baina ya vikundi hivo viwili: “Baada-mauzo ndipo lengo la muda mrefu linalojitokeza. Lazima tufanye kazi pamoja — hata kama RAK PWSD inafanya marekebisho yake yenyewe —kwa ajili kila kitu sasa ni cha kiteknolojia kiasi cha kuwa inatubidi kufunza timu za wateja wetu. Iveco na Al Ghandi wanafanya hivyo kuhakikisha kuwa teknolojia inatumiwa vizuri.” Al Hammadi anajibu: “Haswa unapoleta fliti au vifaa vipya kwa kweli.

(SMAG) wana usaidizi — wanakuja hapa, wanakaa hapa kwa wiki moja au mbili, wanawafunza watu wetu na wanafanya chochote kinachohitajika. Pia, wana mpango-badili hapa — wana sehemu zao badili hapahapa UAE. Hivyo sivyo kama vile chapa zingine.” Turner anaongeza: “Pia ni barabara ya njia mbili. Tunafanya kazi kwa karibu na wateja wetu, na wao kwa upande wao hawajihusishi na soko la rangi ya kijivu — na kuwa mwishowe inatufaidisha sote wawili. Lazima tuwe na ushirikiano — Ikiwa tutauza malori tu na kukimbia, haitokuwa vizuri.” Al Hammadi anaongeza: “Inaendelea vizuri. Watu wetu wanaendelea na kusaidiana. Ni kama biashara ya kifamilia sasa,” Turner anaongezea. “Hiyo ndiyo njia ninayojaribu kusimamia kampuni — kama ambayo umejiunga na familia!”

Kusoma habari nzima bonyeza hapo chini. 

Source : http://www.constructionweekonline.com/article-42214-big-interview-eng-al-hammadi-of-rak-pwsd/1/print