UANZILISHI RASMI WA GOLDEN DRAGON HAPO FLETI ZA KIBOSI ZA MARRIOTT ADDIS ABABA

Saeed Mohammed Al Ghandi, wasambazaji wakuu wa magari kadha yanayosifika duniani, Mashariki Kati na Afrika Mashariki walikuwa wenyeji wa uanzilishi rasmi wa basi za Golden Dragon mjini Addis Ababa, Ethiopia hapoFleti za Kibosi za Marriott, Addis Ababa siku ya Alhamisi, Disemba 8 2016.

Saeed Mohammed Al Ghandi & Wanawana zaidi ya miaka 50 ya uzoefu wa usambazaji magari na vifaa  vya Kibiashara kwa biashara zinazoongezeka na kusifika duniani za mashini za Viwanda na Vifaa zilizo kwenye eneo la Mashariki Kati na Afrika Mashariki na ofisi ya uwakilishi ilioko Ethiopia iko tayari kufaidika kutoka mahitaji ya kiwango cha juu ya vifaa vya Ujenzi; lengo la mipango yao ya upanuzi la kukuza mfumo wa usafiri wa Ethiopia kuwa na mwelekeo wa mji ulioshughulika. Ofisi ya uwakilishi iliyo na makao makuu hapo Nega City Mall, Addis Ababa inasaidia wafanyakazi wa mauzo, wa kiufundi & sehemu ikiwa na uwezo wa kufikia  kituo cha usambazaji kikubwa ambacho kiko UAE; zote ambazo zina hati ya IS0 9001.

Kampuni ilianzilisha basi za Golden Dragon, mojawapo ya Watengezaji Basi 10 Wazuri Zaidi & na Chapa za Basi 10 Bora Zaidi nchini China. Hadi sasa, basi hizi zimeuzwa nje kwa nchi karibu 40 na maeneo ya Asia, Mashariki Kati, Afrika na Amerika Kusini na inaingia kwenye soko la Ulaya. Basi hizi za kibosi zinajumuisha viti 15 hadi abiria 61 kwa mara moja.  

SMAG inatoa huduma madhubuti za baada ya mauzo, sehemu na huduma za kiufundi  kwa washiriki wa biashara wa kienyeji wakishirikiana na Tana Uhandisi PLC ambao wao wenyewe wana uzoefu wa zaidi ya miaka 60 kwenye sekta ya ujenzi.Mkurugenzi Mtendaji wa SMAG  Graham Turner anasema, “Idadi ya watu inayoongezeka, GDP inayopanda, raslimali ambazo hazitumiwi, majengo na mahitaji ya vifaa vya ujenzi ni ushahidi tosha kuashiria kuwa Ethiopia inaenda kwenye mwelekeo sawa kwa ukuaji uchumi. Kwa SMAG; tuliona uwezo wa kufikia haya miaka mengi iliyopita, makubaliano haya mapya ya kibiashara tuliosahihisha yanaonyesha kujitolea kwetu kukua soko la Afrika na haswa Ethiopia leo tunapoanzilisha Golden Dragon.”

KWA MAELEZO ZAIDI -Saeed Mohamed Al Ghandi& Sons (Ofisi Rep.), Barabara Joseph Tito, Nega City Mall, Ghorofa 2, Addis Ababa, Ethiopia. Simu: +251115571414 Baruapepe: smag@alghandi.com