MALORI

SiteID: 5
Category: C
lnggcode: sw
id:8

IVECO DAILY CHASSIS 70C15H

DAILY mpya imebuniwa tena kikamili kukidhi kila haja ya usafiri wepesi wa kibiashara, wazo jipya, gari lipya, kizazi kipya cha magari ya Daily.

Specifications :

 • NAFASI: 2.988 litres
 • INJINI: F1C E0481- 4 stroke diesel cycle-Water cooled-16 valves (4 per cylinder)
 • GIA BOKSI: Six speeds Overdrive ,synchromeshed manual transmission.
 • SASPENSHENI: Front - Independent with Torsion Bar; Rear - Semi-elliptical leaf spring and additional bumpers.
 • AINA: 4x2 chassis cab

IVECO TRAKKER AT720T42TH

Trakker MPYA zimelengwa kikamili kwa shughuli za magari, zinatoa viwango vya juu vya kudumu, gharama za kiwango cha chini za urekebisho na ufanisi na utenda kazi ulioongezeka.

Specifications :

 • NAFASI: Iveco Cursor 13 Turbocharger Waste-Gate valve
 • INJINI: 12.88
 • GIA BOKSI: EUROTRONIC/ MECHANICAL
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic leaf /Semielliptic leaf; Rear - Semielliptic leaf ; Anti roll bar - Front & 1st rear; Shock absorbers - 2 on front
 • AINA: Tractor (Prime mover)

IVECO TRAKKER AT400T42TH SR

Trakker MPYA zimelengwa kikamili kwa shughuli za magari, zinatoa viwango vya juu vya kudumu, gharama za kiwango cha chini za urekebisho na ufanisi na utenda kazi ulioongezeka.

Specifications :

 • NAFASI: 12.88 litres
 • INJINI: Iveco Cursor 13 Turbocharger Waste-Gate valve
 • GIA BOKSI: EUROTRONIC/ MECHANICAL
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic leaf; Rear - Semielliptic leaf; Anti roll bar - Front & 1st rear; Shock absorbers - 2 on front
 • AINA: 4x2 Tractor (Prime mover)

IVECO DAILY CHASSIS 50C15H

DAILY yako mpya ni DAILY mpya kabisa: madhubuti kiasili, nyepesi kiajabu, tulivu na rahisi kutumia. Usanifu mpya unaboresha kiasi cha magari. Misingi gurudumu mapya yanaboresha kushughulikia kinguvu. Vinin’ginizo vipya vinaboresha utenda kazi na mjengo madhubuti.

Specifications :

 • NAFASI: 2.988 litres
 • INJINI: F1CE3481J - 4 stroke diesel cycle-Watercooled - 16 valves (4 per cylinder)
 • GIA BOKSI: Six speeds Overdrive, synchromeshed manual transmission
 • SASPENSHENI: Front Wheels: 5 JK - 16H; New QUAD-TOR incorporating torsion bar; Rear - Parabolic leaf springs and rubber
 • AINA: 4x2 chassis cab

IVECO EURO CARGO ML120E21

Mkusanyiko wa Eurocargo ndio mpana zaidi kwenye daraja yake. Ikiwa na aina za uzito wa gari wa jumla 8, vipimo nguvu vya Injini 4, gia boksi 7 na aina za kabu 3, Eurocargo inapatikana kwa aina zaidi ya 11,000, kukidhi kila haja, hata kama ni maalum kwa kiasi kipi.

Specifications :

 • NAFASI: 5.88 litres
 • INJINI: IVECO TECTOR F4AE0681D*C Turbocharged and intercooled
 • GIA BOKSI: MEC. 6 SPEED or MEC. 9 SPEED
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic; Rear - Parabolic / Optional Semi Elliptical; Anti roll bar - Front & rear; Shock absorbers - 2 on front, 2 on rear
 • AINA: Rigid 4x2

IVECO EURO CARGO ML150E24WS

Mkusanyiko wa Eurocargo ndio mpana zaidi kwenye daraja yake. Ikiwa na aina za uzito wa gari wa jumla 8, vipimo nguvu vya Injini 4, gia boksi 7 na aina za kabu 3, Eurocargo inapatikana kwa aina zaidi ya 11,000, kukidhi kila haja, hata kama ni maalum kwa kiasi kipi.

Specifications :

 • NAFASI: 5.88 litres
 • INJINI: IVECO TECTOR Turbocharged and intercooled
 • GIA BOKSI: MEC. 6 SPEED/MEC. 6 SP + PTO
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic/ Optional Semi Elliptical; Rear - Parabolic / Optional Semi Elliptical; Anti roll bar - Front & rear; Shock absorbers - 2 on front, 2 on rear
 • AINA: Rigid 4x4

IVECO EURO CARGO ML180E28

Mkusanyiko wa Eurocargo ndio mpana zaidi kwenye daraja yake. Ikiwa na aina za uzito wa gari wa jumla 8, vipimo nguvu vya Injini 4, gia boksi 7 na aina za kabu 3, Eurocargo inapatikana kwa aina zaidi ya 11,000, kukidhi kila haja, hata kama ni maalum kwa kiasi kipi.

Specifications :

 • NAFASI: 5.88 litres
 • INJINI: IVECO TECTOR Turbocharged and intercooled
 • GIA BOKSI: MEC. 9 SPEED/AUTOMATIC
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic/ Optional Semi Elliptical; Rear - Parabolic / Optional Semi Elliptical; Anti roll bar - Front & rear; Shock absorbers - 2 on front, 2 on rear
 • AINA: Rigid 4x2

IVECO TRAKKER AT380T38H

Trakker MPYA zinakuja na gia boksi za kifundi za upesi-16 ambazo zimehamiwa na mfumo wa shifti-savo kwa utulivu wa dereva ulioongezeka, na mabadiliko ya gia ya haraka na sahihi.

Specifications :

 • NAFASI: 12.88 litres
 • INJINI: Iveco Cursor 13 Turbocharger + Waste-Gate valve
 • GIA BOKSI: EUROTRONIC/ MECHANICAL
 • SASPENSHENI: Front - Parabolic leaf / Optional Semi Elliptical; Rear - Semielliptic leaf; Anti roll bar - Front & 1st rear; Shock absorbers - 2 on front
 • AINA: 6x4 chassis cab

IVECO TRAKKER AD380T38

Mkusanyiko wa Eurocargo ndio mpana zaidi kwenye kikundi chake. Inapatikana kwa zaidi ya aina 11,000, kukidhi kila haja yako, hata kama haja yako ni ya kimaalum.

Specifications :

 • NAFASI: 12.88 litres
 • INJINI: Turbocharger Waste-Gate valve
 • GIA BOKSI:
 • SASPENSHENI: Front Parabolic leaf, Rear Semielliptic leaf
 • AINA: Ladder construction. Pressed steel side members and riveted and bolted cross members.