KISHIKAJI CHA KIDARUBINI

Fomu Ya Uchunguzi

Vishikaji vya kidarubuni vya Case vinatoa uimara wa kuridhisha kupitia mchanganyiko wa msingi wa gurudumu mrefu, mahali pivoti pa bumu pa chini na uzito-pinga ulioboreshwa.

UIMARA NA UDHIBITI WA KURIDHISHA 
Vishikaji vya kidarubuni vya Case vinatoa uimara wa kuridhisha kupitia mchanganyiko wa msingi wa gurudumu refu, mahali pivoti pa bumu pa chini na uzito-pinga ulioboreshwa.Mashini hizi ni nyepesi ajabu, zikitembea kwa haraka kwenye eneo kwa ajili ya upitishaji wa Shifti-nguvu wa upesi-nne na mfumo peleka wa mitindo mitatu ambao ni rahisi kutumia.

KUFIKIA JUU 
Mjengo madhubuti wa bumu pamoja na silinda haydroliki zenye nguvu, au mkondo mnyororo kwenye modeli moja ya 13 m, inatoa mkusanyiko murwa wa urefu wa kufanya kazi wa hadi 17m. Usawazishaji wa fremu haydroliki pamoja na kuashiri mzigo salama kisauti na kimaonyesho, kunahakikisha uwekaji salama wa mizigo kwenye urefu au ufikiaji wowote.

NGUVU YA KUFANYA KAZI 
Kishikaji-Tele TX kinapewa nguvu na injini Tier3 zenye utoaji mkubwa za Case, kutoka 99 hp hadi 118hp.Injini hii inachanganya matumizi madogo ya fueli na toki ya nguvu ya 516 Nm, yenye uwezo wa kusukuma mashini kupitia hali ngumu zaidi za eneo. Injini zote zimeambatanishwa kiurefu kwenye ubavu wa mashini, kwa kupeleka nguvu za kiwango juu zaidi na urahisi wa kuhudumiwa.

Specifications :

  • Modeli : TX140-45 TURBO
  • Injini : FPT - Tier 3
  • Nguvu : 88 kW/118 hp
  • Uzito (kg) : 9900