CHILA - CWS SOLO

Fomu Ya Uchunguzi

Climma CWS SOLO, ni mfumo wenye nguvu uliobuniwa haswa kwa majahazi kuhakikisha hali murwa kwenye chombo hicho. Inapatikana kwanzia 60.000 hadi 144.000 BTU/h ikiwa na kigandamiza kimoja, mzunguko wa kuenda nyuma kama asili yake na kupunguza joto kunapohitajika, CWS SOLO ni suluhisho bora zaidi kwa majahazi kwanzia futi 55 hadi mita 30.

NGUVU
Climma CWS SOLO, mfumo wenye nguvu uliobuniwa haswa majahazi kuhakikisha hali murwa kwenye jahazi. Inapatikana kwanzia 60.000 hadi 144.000 BTU/h ikiwa na kigandamizi kimoja, mzunguko wa kuenda nyuma kama asili yake na kupunguza joto kunapohitajika, CWS SOLO ni suluhisho bora zaidi kwa majahazi kwanzia futi 55 hadi mita 30.

KOMPAKTI
Kwa VECO tunajua kwa kiasi gani ukubwa wa bodi ni suala; Hio ndio sababu muundo wetu daima umelengwa kwa kuweka mifumo yenye nguvu kwenye sehemu ndogo zaidi kama iwezekanavyo. Mifumo ya Climma CWS SOLO imebuniwa kuwa suluhisho kompakti zaidi linaloweza kupatikana.

UBORA
Mfumo dhibiti wa kipekee wa Climma unasimamia na kucheki vipimo vyote muhimu vya CWS SOLO, na kuongeza utandaji kazi na kuaminika kwa mfumo huu.   
                                                                                                                                               Kondensa ya maji chumvi na saketi husika ya maji chumvi na chemba anuwai zimeundwa na kupronikeli ya kiwango-marini kwa uwezo wa kuzuia kukorodi kwa maji chumvi, wa kiwango cha juu zaidi. Saketi ya maji safi imetengezwa kwa shaba na chuma cha bila doa na kigandamizi kinasaidiwa na kinachopinga-uvumaji. 

UFANISI
CWS SOLO zote zinapatikana na draiva za invata. Invata za kipekee za Climma zinazopozwa na maji zinaondoa karenti ya kuwasha na kupunguza matumizi ya nguvu ya vifaa vya CWS kwa hadi 30%.

Specifications :

  • Uzito: : 78 - 160 kg
  • Urefu: : 506 - 630 mm
  • Upana: : 400 - 480 mm
  • Mtindo Baridi: : 17-35 kW