VIYOYOZI HEWA

SiteID: 5
Category: C
lnggcode: sw
id:10

CHILA - CWS SOLO

Climma CWS SOLO, ni mfumo wenye nguvu uliobuniwa haswa kwa majahazi kuhakikisha hali murwa kwenye chombo hicho. Inapatikana kwanzia 60.000 hadi 144.000 BTU/h ikiwa na kigandamiza kimoja, mzunguko wa kuenda nyuma kama asili yake na kupunguza joto kunapohitajika, CWS SOLO ni suluhisho bora zaidi kwa majahazi kwanzia futi 55 hadi mita 30.

Specifications :

 • Uzito:: 78 - 160 kg
 • Urefu:: 506 - 630 mm
 • Upana:: 400 - 480 mm
 • Mtindo Baridi:: 17-35 kW

CWS DC INVATA SERIE DC50

Invata ya chila mpya ya Climma DC ni matokeo ya uundaji wa kujichunga na ubunifu ulio na asili ya zaidi ya miaka 40 ya uzoefu wa utengezaji kuboresha ufanisi wa nishati chila za uyoyozi hewa za bahari. Chila ya DC ya Climma inaendeshwa na invata yao ya kipekee inayopozwa na maji inayoshukisha mahitaji ya nguvu kwa hadi 50% ukilinganisha na chila za zamani.

Specifications :

 • Uzito:: 48 kg
 • Urefu:: 453 mm
 • Upana::
 • Mtindo Baridi:: 3 - 14 kW

CHILA – MODULI CWS

Mifumo ya CWS MODULI ya Climma ni suluhisho maalum kwa uyoyozi-hewa kwenye majahazi kutoka futi 60 hadi majahazi makubwa ya mita 50 na zaidi. Mfumo wa kimoduli uliojengwa na umbo la fremu la chuma cha bila doa ikijumuisha kondensa na chemba anuwai kwa saketi za maji chumvi na maji safi inahakikisha kuwa Climma CWSndio suluhisho kompakti zaidi.

Specifications :

 • Uzito:: 160 - 780 kg
 • Urefu:: 653 - 704 mm
 • Upana:: 810 - 2220 mm
 • Mtindo Baridi:: 21 - 253 kW

KOILI FENI YA EVA SERIE

Koili feni mpya za EVA ni hatua kubwa ya kuenda mbele kiubunifu na kiutendaji kazi, matokeo ya uzoefu na elimu ya miaka 15 ya kutengeza mifumo ya uyoyozi hewa ya kibahari. Sirisi yetu mpya ya EVA inashinda suala muhimu la mifumo ya uyoyozi hewa ya kibahari: Utoaji unaofaulu wa maji ya kutoka kwa kondensa, nafasi ya kivuvizi na ufanisi na kutoa fujo na kuvuma kuliopunguzwa.

Specifications :

 • Uzito:: 6 - 16 kg
 • Urefu:: 219 - 308 mm
 • Upana:: 322 - 651 mm
 • Mtindo Baridi:: 0.5 - 7 kW

AC YA AINA GAWANYO

Viyoyozi hewa vya kujitegemea vya Climma MK3 Gawanyo ni murwa wakati nafasi ina kikomo; mfumo umegawanywa kwa vifaa 2 tofauti, kimoja ni kinachofanya mvuke na cha pili ni kigandamizaji, ambacho kinaweza kuwekwa mbali na cha kwanza.

Specifications :

 • Uzito:: 32- 36 kg
 • Urefu:: 291 - 304 mm
 • Upana:: 270 - 395 mm
 • Mtindo Baridi:: 3 - 7 kW

KOMPAKTI – ZILIZOMO-BINAFSI AC

Viyoyozi-hewa vya kujitegemea vya Climma Kompakti ya MK3 na Climma Kompakti ya EDF ni murwa kwa kupunguza joto la kabini moja au za karibu. Kompakti MK3 na EF zimebuniwa haswa kwa shughuli za kibaharia, zikiwa na kondensa zilizopozwa na maji, ubunifu kompakti sana, vivuvizi kimya na vyenye nguvu na kemikali jokofu ya kiikolojia, zinatolewa kama kawaida na DC chaguo la mzunguko wa kinyume.

Specifications :

 • Uzito:: 12 - 85 kg
 • Urefu:: 227 - 516 mm
 • Upana:: 281 - 1010 mm
 • Mtindo Baridi:: 1 - 8 kW